×

Na mwanaadamu husema: Hivyo, nitakapo kufa, ni kweli nitafufuliwa niwe hai tena 19:66 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:66) ayat 66 in Swahili

19:66 Surah Maryam ayat 66 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 66 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿وَيَقُولُ ٱلۡإِنسَٰنُ أَءِذَا مَا مِتُّ لَسَوۡفَ أُخۡرَجُ حَيًّا ﴾
[مَريَم: 66]

Na mwanaadamu husema: Hivyo, nitakapo kufa, ni kweli nitafufuliwa niwe hai tena

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ويقول الإنسان أئذا ما مت لسوف أخرج حيا, باللغة السواحيلية

﴿ويقول الإنسان أئذا ما مت لسوف أخرج حيا﴾ [مَريَم: 66]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na binadamu kafiri anasema, kwa kukanusha kufufuliwa baada ya kufa, «Je mimi nikifa na nikamalizika, kweli nitatolewa kwenye kaburi langu nikiwa hai?»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek