Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 67 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿أَوَلَا يَذۡكُرُ ٱلۡإِنسَٰنُ أَنَّا خَلَقۡنَٰهُ مِن قَبۡلُ وَلَمۡ يَكُ شَيۡـٔٗا ﴾
[مَريَم: 67]
﴿أو لا يذكر الإنسان أنا خلقناه من قبل ولم يك شيئا﴾ [مَريَم: 67]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Vipi binadamu huyu kafiri amejisahau nafsi yake? Kwani hakumbuki kwamba sisi tulimuumba mara ya kwanza na hakuwa ni kitu kilichoko |