Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 69 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿ثُمَّ لَنَنزِعَنَّ مِن كُلِّ شِيعَةٍ أَيُّهُمۡ أَشَدُّ عَلَى ٱلرَّحۡمَٰنِ عِتِيّٗا ﴾
[مَريَم: 69]
﴿ثم لننـزعن من كل شيعة أيهم أشد على الرحمن عتيا﴾ [مَريَم: 69]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tutawachukua, katika kila pote, wale wakiukaji amri zaidi na wenye kumuasi Mwenyezi Mungu zaidi, tuanze kuwaadhibu |