×

(Akaambiwa): Ewe Zakariya! Hakika Sisi tunakubashiria mwana; jina lake ni Yahya. Hatujapata 19:7 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:7) ayat 7 in Swahili

19:7 Surah Maryam ayat 7 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 7 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿يَٰزَكَرِيَّآ إِنَّا نُبَشِّرُكَ بِغُلَٰمٍ ٱسۡمُهُۥ يَحۡيَىٰ لَمۡ نَجۡعَل لَّهُۥ مِن قَبۡلُ سَمِيّٗا ﴾
[مَريَم: 7]

(Akaambiwa): Ewe Zakariya! Hakika Sisi tunakubashiria mwana; jina lake ni Yahya. Hatujapata kumpa jina hilo yeyote kabla yake

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يازكريا إنا نبشرك بغلام اسمه يحيى لم نجعل له من قبل سميا, باللغة السواحيلية

﴿يازكريا إنا نبشرك بغلام اسمه يحيى لم نجعل له من قبل سميا﴾ [مَريَم: 7]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ewe Zakariyyā! Sisi tunakupa bishara ya kukubaliwa maombi yako. Tumekutunukia mtoto wa kuime, jina lake ni Yaḥyā, hatujampatia jina hili yoyote kabla yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek