Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 92 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَمَا يَنۢبَغِي لِلرَّحۡمَٰنِ أَن يَتَّخِذَ وَلَدًا ﴾
[مَريَم: 92]
﴿وما ينبغي للرحمن أن يتخذ ولدا﴾ [مَريَم: 92]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Haifai kwa Mwenyezi Mungu na hainasibiani na Yeye Awe na mtoto, kwani kuwa na mtoto ni dalili ya upungufu na mahitajio, na Mwenyezi Mungu Ndiye Mkwasi Mwenye kuhimidiwa Aliyeepushwa na sifa zote za upungufu |