Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 93 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿إِن كُلُّ مَن فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ إِلَّآ ءَاتِي ٱلرَّحۡمَٰنِ عَبۡدٗا ﴾
[مَريَم: 93]
﴿إن كل من في السموات والأرض إلا آتي الرحمن عبدا﴾ [مَريَم: 93]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakuna aliye mbinguni, miongoni mwa Malaika, wala aliye ardhini, miongoni mwa binadamu na majini, isipokuwa atamjia Mola wake Siku ya Kiyama akiwa ni mja mdhalilifu mnyenyekevu mwenye kukubali uja wake Kwake |