×

Au mnataka kumwomba Mtume wenu kama alivyo ombwa Musa zamani? Na anaye 2:108 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:108) ayat 108 in Swahili

2:108 Surah Al-Baqarah ayat 108 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 108 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿أَمۡ تُرِيدُونَ أَن تَسۡـَٔلُواْ رَسُولَكُمۡ كَمَا سُئِلَ مُوسَىٰ مِن قَبۡلُۗ وَمَن يَتَبَدَّلِ ٱلۡكُفۡرَ بِٱلۡإِيمَٰنِ فَقَدۡ ضَلَّ سَوَآءَ ٱلسَّبِيلِ ﴾
[البَقَرَة: 108]

Au mnataka kumwomba Mtume wenu kama alivyo ombwa Musa zamani? Na anaye badilisha Imani kwa ukafiri bila ya shaka huyo ameipotea njia iliyo sawa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أم تريدون أن تسألوا رسولكم كما سئل موسى من قبل ومن يتبدل, باللغة السواحيلية

﴿أم تريدون أن تسألوا رسولكم كما سئل موسى من قبل ومن يتبدل﴾ [البَقَرَة: 108]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Bali nyinyi mnataka, enyi watu, kumuuliza Mtume wenu Muhammad, rehema na amani zimshukie, awapatie mambo, kwa njia ya ukaidi na ujeuri, kama yalivyotakwa, mfano wa hayo, kutoka kwa Mua. Na jueni kwamba mwenye kuchagua ukafiri na kuacha Imani, ashatoka nje ya njia ya Mwenyezi Mungu iliyolingana sawa na ameingia kwenye ujinga na upotevu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek