×

Hujui kwamba Mwenyezi Mungu ana ufalme wa mbingu na ardhi? Nanyi hamna 2:107 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:107) ayat 107 in Swahili

2:107 Surah Al-Baqarah ayat 107 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 107 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿أَلَمۡ تَعۡلَمۡ أَنَّ ٱللَّهَ لَهُۥ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۗ وَمَا لَكُم مِّن دُونِ ٱللَّهِ مِن وَلِيّٖ وَلَا نَصِيرٍ ﴾
[البَقَرَة: 107]

Hujui kwamba Mwenyezi Mungu ana ufalme wa mbingu na ardhi? Nanyi hamna mlinzi wala msaidizi isipo kuwa Mwenyezi Mungu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ألم تعلم أن الله له ملك السموات والأرض وما لكم من دون, باللغة السواحيلية

﴿ألم تعلم أن الله له ملك السموات والأرض وما لكم من دون﴾ [البَقَرَة: 107]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kwani hukujua, ewe Nabii, wewe na ummah wako, kwamba Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Ndiye Mwenye kumiliki, Ndiye Mwenye kuendesha mambo ya mbinguni na ardhini? Anafanya Analolitaka na Anatoa uamuzi Anaotaka. Anawaamrisha waja Wake na kuwakataza Anavyotaka, na ni juu yao kutii na kukubali. Na wajue wenye kumuasi Yeye kuwa hakuna rafiki mwenye kuwasaidia wala muokozi mwenye kuzuia adhabu ya Mwenyezi Mungu isiwapate
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek