×

Na wanapo ambiwa: Aminini kama walivyo amini watu. Husema: Tuamini kama walivyo 2:13 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:13) ayat 13 in Swahili

2:13 Surah Al-Baqarah ayat 13 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 13 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿وَإِذَا قِيلَ لَهُمۡ ءَامِنُواْ كَمَآ ءَامَنَ ٱلنَّاسُ قَالُوٓاْ أَنُؤۡمِنُ كَمَآ ءَامَنَ ٱلسُّفَهَآءُۗ أَلَآ إِنَّهُمۡ هُمُ ٱلسُّفَهَآءُ وَلَٰكِن لَّا يَعۡلَمُونَ ﴾
[البَقَرَة: 13]

Na wanapo ambiwa: Aminini kama walivyo amini watu. Husema: Tuamini kama walivyo amini wapumbavu? Hakika wao ndio wapumbavu, lakini hawajui tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإذا قيل لهم آمنوا كما آمن الناس قالوا أنؤمن كما آمن السفهاء, باللغة السواحيلية

﴿وإذا قيل لهم آمنوا كما آمن الناس قالوا أنؤمن كما آمن السفهاء﴾ [البَقَرَة: 13]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na waambiwapo wanafiki, “Aminini kama walivyoamini masahaba, nako ni kuamini kwa moyo, ulimi na viungo,” huwa wakibisha na kusema, “Basi, tuamini kama vile madhaifu wa akili na maoni walivyoamini, tuwe kama wao katika upumbavu?” Mwenyezi Mungu aliwajibu kwamba udhaifu wa akili na maoni ni wao peke yao. Na wao hawajui kuwa msimamo walionao ndio upotevu na hasara
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek