Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 12 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿أَلَآ إِنَّهُمۡ هُمُ ٱلۡمُفۡسِدُونَ وَلَٰكِن لَّا يَشۡعُرُونَ ﴾
[البَقَرَة: 12]
﴿ألا إنهم هم المفسدون ولكن لا يشعرون﴾ [البَقَرَة: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hili wanalolifanya na kudai kuwa ni utengefu ndio uharibifu wenyewe, lakini wao, kwa ujinga wao na ujeuri wao, hawana hisia ya hilo |