×

Huko ndiko kupaka rangi kwa Mwenyezi Mungu, na nani aliye mbora wa 2:138 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:138) ayat 138 in Swahili

2:138 Surah Al-Baqarah ayat 138 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 138 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿صِبۡغَةَ ٱللَّهِ وَمَنۡ أَحۡسَنُ مِنَ ٱللَّهِ صِبۡغَةٗۖ وَنَحۡنُ لَهُۥ عَٰبِدُونَ ﴾
[البَقَرَة: 138]

Huko ndiko kupaka rangi kwa Mwenyezi Mungu, na nani aliye mbora wa kupaka rangi kuliko Mwenyezi Mungu? Na sisi ni wenye kumuabudu Yeye tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: صبغة الله ومن أحسن من الله صبغة ونحن له عابدون, باللغة السواحيلية

﴿صبغة الله ومن أحسن من الله صبغة ونحن له عابدون﴾ [البَقَرَة: 138]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Jilazimisheni na Dini ya Mwenyezi Mungu ambayo Ameifanya inasibiane na maumbile yenu. Kwani hakuna maumbile mazuri kuliko yale ambayo Mwenyezi Mungu Amewaumbia watu. Jilazimisheni nayo na mseme, “Sisi ni wenye kuiandama, ni watiifu kwa Mola wetu katika kufuata kwetu mila ya Ibrāhīm.”
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek