×

Na mfano wa walio kufuru ni kama mfano wa anaye mpigia kelele 2:171 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:171) ayat 171 in Swahili

2:171 Surah Al-Baqarah ayat 171 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 171 - البَقَرَة - Page - Juz 2

﴿وَمَثَلُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ كَمَثَلِ ٱلَّذِي يَنۡعِقُ بِمَا لَا يَسۡمَعُ إِلَّا دُعَآءٗ وَنِدَآءٗۚ صُمُّۢ بُكۡمٌ عُمۡيٞ فَهُمۡ لَا يَعۡقِلُونَ ﴾
[البَقَرَة: 171]

Na mfano wa walio kufuru ni kama mfano wa anaye mpigia kelele asiye sikia ila wito na sauti tu -- ni viziwi, mabubu, vipofu, kwa hivyo hawaelewi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومثل الذين كفروا كمثل الذي ينعق بما لا يسمع إلا دعاء ونداء, باللغة السواحيلية

﴿ومثل الذين كفروا كمثل الذي ينعق بما لا يسمع إلا دعاء ونداء﴾ [البَقَرَة: 171]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na sifa za waliokufuru na wale walinganizi wao katika uongofu na imani ni kama sifa ya mchunga anayewapigia kelele wanyama na kuwakaripia, hali wao hawaelewi maana ya maneno yake isipokuwa wanasikia mwito na mlio wa sauti tu. Makafiri hao ni viziwi wameziba masikizi yao wasisikie haki, ni mabubu wamezifunga ndimi zao wasiitamke haki, ni vipofu macho yao hayazioni hoja za haki zilizo wazi. Kwa hivyo, wao hawatumii akili zao kwa mambo yenye kuwafaa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek