Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 244 - البَقَرَة - Page - Juz 2
﴿وَقَٰتِلُواْ فِي سَبِيلِ ٱللَّهِ وَٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّ ٱللَّهَ سَمِيعٌ عَلِيمٞ ﴾
[البَقَرَة: 244]
﴿وقاتلوا في سبيل الله واعلموا أن الله سميع عليم﴾ [البَقَرَة: 244]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na piganeni nao, enyi Waislamu, hao makafiri ili kuinusuru Dini ya Mwenyezi Mungu, na mjue kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyasikia maneno yenu na ni Mwenye kuzijua nia zenu na vitendo vyenu |