Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 5 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿أُوْلَٰٓئِكَ عَلَىٰ هُدٗى مِّن رَّبِّهِمۡۖ وَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡمُفۡلِحُونَ ﴾
[البَقَرَة: 5]
﴿أولئك على هدى من ربهم وأولئك هم المفلحون﴾ [البَقَرَة: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wenye sifa hizi wako kwenye nuru inayotoka kwa Mola wao na taufiki inayotoka kwa Muumba Wao na Mwongozi Wao. Wao ndio wenye kufuzu, waliopata matakwa yao na kuokoka na shari ya vitu walivyovikimbia |