×

Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini 2:6 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:6) ayat 6 in Swahili

2:6 Surah Al-Baqarah ayat 6 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 6 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ سَوَآءٌ عَلَيۡهِمۡ ءَأَنذَرۡتَهُمۡ أَمۡ لَمۡ تُنذِرۡهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ﴾
[البَقَرَة: 6]

Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين كفروا سواء عليهم أأنذرتهم أم لم تنذرهم لا يؤمنون, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين كفروا سواء عليهم أأنذرتهم أم لم تنذرهم لا يؤمنون﴾ [البَقَرَة: 6]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika wale walioyakanusha yalioteremshwa kwako kutoka kwa Mola Wako, kwa njia ya kiburi na ujeuri, hakutapatikana kuamini kutoka kwao; ni sawa kwao ukiwa utawatisha na kuwaonya adhabu ya Mwenyezi Mungu au utaacha kufanya hivyo, kwa sababu wao wameamua kukakamia kwenye njia yao ya batili
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek