Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 64 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿ثُمَّ تَوَلَّيۡتُم مِّنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَۖ فَلَوۡلَا فَضۡلُ ٱللَّهِ عَلَيۡكُمۡ وَرَحۡمَتُهُۥ لَكُنتُم مِّنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ ﴾
[البَقَرَة: 64]
﴿ثم توليتم من بعد ذلك فلولا فضل الله عليكم ورحمته لكنتم من﴾ [البَقَرَة: 64]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha mlienda kinyume na mkaasi mara nyingine, baada ya kuchukuwa ahadi ya mkazo na kunyanyuliwa jabali, kama desturi yenu daima. Na lau si wema wa Mwenyezi Mungu na rehema Yake kuikubali toba yenu na kuyasamehe makosa yenu, mungalikuwa ni wenye hasara ya duniani na ya Akhera |