×

Kwa hivyo tukayafanya hayo kuwa onyo kwa wale walio kuwa katika zama 2:66 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:66) ayat 66 in Swahili

2:66 Surah Al-Baqarah ayat 66 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 66 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿فَجَعَلۡنَٰهَا نَكَٰلٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيۡهَا وَمَا خَلۡفَهَا وَمَوۡعِظَةٗ لِّلۡمُتَّقِينَ ﴾
[البَقَرَة: 66]

Kwa hivyo tukayafanya hayo kuwa onyo kwa wale walio kuwa katika zama zao na walio kuja baada yao, na mawaidha kwa wachamngu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فجعلناها نكالا لما بين يديها وما خلفها وموعظة للمتقين, باللغة السواحيلية

﴿فجعلناها نكالا لما بين يديها وما خلفها وموعظة للمتقين﴾ [البَقَرَة: 66]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Tukakifanya kijiji hicho ni mazingatio kwa watu wa vijiji vya karibu ambao itawafikia habari yake na vituko vilivyotokea huko, na ni mazingatio kwa mwenye kufanya madhambi kama hayo baada yake. Na pia tulikifanya ni mawaidha kwa watu wema, wapate kujua kuwa wao wako kwenye haki, ili wasimame imara juu yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek