×

Na wako miongoni mwao wasio jua kusoma; hawakijui Kitabu isipo kuwa uwongo 2:78 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:78) ayat 78 in Swahili

2:78 Surah Al-Baqarah ayat 78 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 78 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿وَمِنۡهُمۡ أُمِّيُّونَ لَا يَعۡلَمُونَ ٱلۡكِتَٰبَ إِلَّآ أَمَانِيَّ وَإِنۡ هُمۡ إِلَّا يَظُنُّونَ ﴾
[البَقَرَة: 78]

Na wako miongoni mwao wasio jua kusoma; hawakijui Kitabu isipo kuwa uwongo wanao utamani, nao hawana ila ni kudhania tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومنهم أميون لا يعلمون الكتاب إلا أماني وإن هم إلا يظنون, باللغة السواحيلية

﴿ومنهم أميون لا يعلمون الكتاب إلا أماني وإن هم إلا يظنون﴾ [البَقَرَة: 78]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kati yao kuna watu wasiojua kusoma na kuandika, na wasioijua Taurati na yaliyomo ndani yake ya sifa za Nabii na Mtume Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na hawana chochote kuhusu hayo isipokuwa ni maneno ya urongo na dhana mbovu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek