×

Na wanakuuliza khabari za milima. Waambie: Mola wangu Mlezi ataivuruga vuruga 20:105 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:105) ayat 105 in Swahili

20:105 Surah Ta-Ha ayat 105 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 105 - طه - Page - Juz 16

﴿وَيَسۡـَٔلُونَكَ عَنِ ٱلۡجِبَالِ فَقُلۡ يَنسِفُهَا رَبِّي نَسۡفٗا ﴾
[طه: 105]

Na wanakuuliza khabari za milima. Waambie: Mola wangu Mlezi ataivuruga vuruga

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ويسألونك عن الجبال فقل ينسفها ربي نسفا, باللغة السواحيلية

﴿ويسألونك عن الجبال فقل ينسفها ربي نسفا﴾ [طه: 105]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wanakuuliza watu wako, ewe Mtume, kuhusu hatima ya majabali Siku ya Kiyama. Basi waambie, «Mola wangu Atayaondoa mahali pake na atyafanya ni vumbi lililopeperushwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek