Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 122 - طه - Page - Juz 16
﴿ثُمَّ ٱجۡتَبَٰهُ رَبُّهُۥ فَتَابَ عَلَيۡهِ وَهَدَىٰ ﴾
[طه: 122]
﴿ثم اجتباه ربه فتاب عليه وهدى﴾ [طه: 122]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha Mwenyezi Mungu Akamteua Ādam, Akamkaribisha, Akaikubali toba yake na Akamuongoza njia njema ya kuifuata |