Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 20 - طه - Page - Juz 16
﴿فَأَلۡقَىٰهَا فَإِذَا هِيَ حَيَّةٞ تَسۡعَىٰ ﴾
[طه: 20]
﴿فألقاها فإذا هي حية تسعى﴾ [طه: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akaitupa chini, ikageuka kwa amri ya Mwenyezi Mungu ikawa nyoka anayetembea, na Mūsā akaona jambo kubwa na akazunguka kukimbia |