Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 21 - طه - Page - Juz 16
﴿قَالَ خُذۡهَا وَلَا تَخَفۡۖ سَنُعِيدُهَا سِيرَتَهَا ٱلۡأُولَىٰ ﴾
[طه: 21]
﴿قال خذها ولا تخف سنعيدها سيرتها الأولى﴾ [طه: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Akasema kumwambia Mūsā, «Mshike huyo nyoka na usimuogope, tutamrudisha kuwa fimbo vile alivyokuwa mwanzo |