×

Na wanapo guswa na mpulizo mmoja tu wa adhabu itokayo kwa Mola 21:46 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:46) ayat 46 in Swahili

21:46 Surah Al-Anbiya’ ayat 46 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 46 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَلَئِن مَّسَّتۡهُمۡ نَفۡحَةٞ مِّنۡ عَذَابِ رَبِّكَ لَيَقُولُنَّ يَٰوَيۡلَنَآ إِنَّا كُنَّا ظَٰلِمِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 46]

Na wanapo guswa na mpulizo mmoja tu wa adhabu itokayo kwa Mola wako Mlezi, bila ya shaka wao husema: Ole wetu! Hakika tulikuwa wenye kudhulumu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولئن مستهم نفحة من عذاب ربك ليقولن ياويلنا إنا كنا ظالمين, باللغة السواحيلية

﴿ولئن مستهم نفحة من عذاب ربك ليقولن ياويلنا إنا كنا ظالمين﴾ [الأنبيَاء: 46]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Lau liliwapata makafiri fungu la adhabu ya Mwenyezi Mungu wangalijua mwisho wa kukanusha kwao na wangalilikabili hilo kwa kujiapiza maangamivu kwa sababu ya kujidhulumu kwao nafsi zao kwa kumuabudu kwao asiyekuwa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek