×

Na Ismail, na Idris, na Dhulkifli - wote walikuwa miongoni mwa wanao 21:85 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:85) ayat 85 in Swahili

21:85 Surah Al-Anbiya’ ayat 85 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 85 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِدۡرِيسَ وَذَا ٱلۡكِفۡلِۖ كُلّٞ مِّنَ ٱلصَّٰبِرِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 85]

Na Ismail, na Idris, na Dhulkifli - wote walikuwa miongoni mwa wanao subiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإسماعيل وإدريس وذا الكفل كل من الصابرين, باللغة السواحيلية

﴿وإسماعيل وإدريس وذا الكفل كل من الصابرين﴾ [الأنبيَاء: 85]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kumbuka Ismā'īl, Idrīs na Dhulkifl. Wote hao ni miongoni mwa wavumilivu katika kumtii Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake, katika kujiepusha na kumuasi na juu ya makadirio Yake, na kwa hivyo walistahiki kutajwa kwa sifa nzuri
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek