Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 86 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿وَأَدۡخَلۡنَٰهُمۡ فِي رَحۡمَتِنَآۖ إِنَّهُم مِّنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 86]
﴿وأدخلناهم في رحمتنا إنهم من الصالحين﴾ [الأنبيَاء: 86]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukawatia ndani ya rehema yetu. Kwa hakika wao ni miongoni mwa wale ambao imetengenea ndani yao na nje yao, wakamtii Mwenyezi Mungu na wakafanya matendo yanayolingana na maamrisho Yake |