×

Humuomba yule ambaye bila ya shaka dhara yake ipo karibu zaidi kuliko 22:13 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hajj ⮕ (22:13) ayat 13 in Swahili

22:13 Surah Al-hajj ayat 13 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 13 - الحج - Page - Juz 17

﴿يَدۡعُواْ لَمَن ضَرُّهُۥٓ أَقۡرَبُ مِن نَّفۡعِهِۦۚ لَبِئۡسَ ٱلۡمَوۡلَىٰ وَلَبِئۡسَ ٱلۡعَشِيرُ ﴾
[الحج: 13]

Humuomba yule ambaye bila ya shaka dhara yake ipo karibu zaidi kuliko nafuu yake. Kwa hakika huyo ni mlinzi muovu, na rafiki muovu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يدعو لمن ضره أقرب من نفعه لبئس المولى ولبئس العشير, باللغة السواحيلية

﴿يدعو لمن ضره أقرب من نفعه لبئس المولى ولبئس العشير﴾ [الحج: 13]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Anamubudu ambaye madhara yake ya hakika yako karibu zaidi kuliko manufaa yake, ni ubaya ulioje wa muabudiwa huyo kuwa ni muokozi na ni ubaya uilioje wake kuwa ni wakutangamana naye
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek