×

Badala ya Mwenyezi Mungu, yeye huomba kisicho mdhuru wala kumnufaisha. Huko ndiko 22:12 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hajj ⮕ (22:12) ayat 12 in Swahili

22:12 Surah Al-hajj ayat 12 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 12 - الحج - Page - Juz 17

﴿يَدۡعُواْ مِن دُونِ ٱللَّهِ مَا لَا يَضُرُّهُۥ وَمَا لَا يَنفَعُهُۥۚ ذَٰلِكَ هُوَ ٱلضَّلَٰلُ ٱلۡبَعِيدُ ﴾
[الحج: 12]

Badala ya Mwenyezi Mungu, yeye huomba kisicho mdhuru wala kumnufaisha. Huko ndiko kupotolea mbali

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يدعو من دون الله ما لا يضره وما لا ينفعه ذلك هو, باللغة السواحيلية

﴿يدعو من دون الله ما لا يضره وما لا ينفعه ذلك هو﴾ [الحج: 12]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Huyo aliyepata hasara anakiabudu kitu, badala ya Mwenyezi Mungu, kisichomdhuru lau akikiwacha wala kumnufaisha akikiabudu. Huko ndiko kupotea kulioko mbali na haki
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek