Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 59 - الحج - Page - Juz 17
﴿لَيُدۡخِلَنَّهُم مُّدۡخَلٗا يَرۡضَوۡنَهُۥۚ وَإِنَّ ٱللَّهَ لَعَلِيمٌ حَلِيمٞ ﴾
[الحج: 59]
﴿ليدخلنهم مدخلا يرضونه وإن الله لعليم حليم﴾ [الحج: 59]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Atawatia Mola wao tena Atawatia mahali pa kuingia ambapo watapapenda, napo ni Peponi. Na kwa hakika Mwenyezi Mungu Anamjua sana yule anayetoka katika njia Yake na mwenye kutoka kwa ajili ya ulimwengu, ni Mpole kwa wale waliomuasi hawafanyii haraka kuwatesa |