×

Na sema: Mola wangu Mlezi! Niteremshe mteremsho wenye baraka, na Wewe ni 23:29 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:29) ayat 29 in Swahili

23:29 Surah Al-Mu’minun ayat 29 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 29 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿وَقُل رَّبِّ أَنزِلۡنِي مُنزَلٗا مُّبَارَكٗا وَأَنتَ خَيۡرُ ٱلۡمُنزِلِينَ ﴾
[المؤمنُون: 29]

Na sema: Mola wangu Mlezi! Niteremshe mteremsho wenye baraka, na Wewe ni Mbora wa wateremshaji

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقل رب أنـزلني منـزلا مباركا وأنت خير المنـزلين, باللغة السواحيلية

﴿وقل رب أنـزلني منـزلا مباركا وأنت خير المنـزلين﴾ [المؤمنُون: 29]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na useme, «Mola wangu! Nifaniye wepesi uteremkaji uliobarikiwa wenye amani, na wewe ndiye bora wa wenye kuteremsha.» Katika hili pana mafunzo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kuwa juu, kwa waja Wake wasome dua hii wateremkapo mahali
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek