×

Hakika katika hayo yapo mazingatio. Na kwa yakini Sisi ni wenye kuwafanyia 23:30 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:30) ayat 30 in Swahili

23:30 Surah Al-Mu’minun ayat 30 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 30 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَٰتٖ وَإِن كُنَّا لَمُبۡتَلِينَ ﴾
[المؤمنُون: 30]

Hakika katika hayo yapo mazingatio. Na kwa yakini Sisi ni wenye kuwafanyia mtihani

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن في ذلك لآيات وإن كنا لمبتلين, باللغة السواحيلية

﴿إن في ذلك لآيات وإن كنا لمبتلين﴾ [المؤمنُون: 30]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kwa hakika, katika kuwaokoa Waumini na kuwaangamiza makafiri, pana dalili wazi zakuonesha ukweli wa Mitume wa Mwenyezi Mungu katika yale waliokuja nayo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na sisi ni wenye kuwapa mtihani watu kwa kuwapelekea Mitume kwao kabla mateso hayajawashukia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek