Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 86 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿قُلۡ مَن رَّبُّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ ٱلسَّبۡعِ وَرَبُّ ٱلۡعَرۡشِ ٱلۡعَظِيمِ ﴾
[المؤمنُون: 86]
﴿قل من رب السموات السبع ورب العرش العظيم﴾ [المؤمنُون: 86]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, «Ni nani Mola wa mbingu saba na Mola wa ‘Arsh iliyo kubwa, ambayo ndiyo kiumbe kikubwa kabisa na kilichoko juu kabisa?» |