Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 87 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿سَيَقُولُونَ لِلَّهِۚ قُلۡ أَفَلَا تَتَّقُونَ ﴾
[المؤمنُون: 87]
﴿سيقولون لله قل أفلا تتقون﴾ [المؤمنُون: 87]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watasema kwa lazima kuwa hizo ni milki ya Mwenyezi Mungu. Basi waambie, «Mbona hamuogopi adhabu ya Mwenyezi Mungu mnapomuabudu asiyekuwa Yeye?» |