Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 85 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿سَيَقُولُونَ لِلَّهِۚ قُلۡ أَفَلَا تَذَكَّرُونَ ﴾
[المؤمنُون: 85]
﴿سيقولون لله قل أفلا تذكرون﴾ [المؤمنُون: 85]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watakubali kwa lazima kwamba ni ya Mwenyezi Mungu, Yeye Ndiye Muumba wake na Ndiye Mwenye kuimiliki. Waambie, «Je, haliwi hilo kwenu ni lenye kuwafanya mukumbuke kuwa Yeye ni Muweza wa kuwafufua wafu na kuwarudishia uhai?» |