Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 1 - النور - Page - Juz 18
﴿سُورَةٌ أَنزَلۡنَٰهَا وَفَرَضۡنَٰهَا وَأَنزَلۡنَا فِيهَآ ءَايَٰتِۭ بَيِّنَٰتٖ لَّعَلَّكُمۡ تَذَكَّرُونَ ﴾
[النور: 1]
﴿سورة أنـزلناها وفرضناها وأنـزلنا فيها آيات بينات لعلكم تذكرون﴾ [النور: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hii ni sura kubwa miongoni mwa sura za Qur’ani, tumeiteremsha na tumelazimisha kuzifanyia kazi hukumu zake, na tumeteremsha ndani yake hoja nyingi zilizo waziwazi ili mupate kujikumbusha, enyi Waumini, kwa aya hizi zilizo waziwazi na muzitumie |