Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 9 - النور - Page - Juz 18
﴿وَٱلۡخَٰمِسَةَ أَنَّ غَضَبَ ٱللَّهِ عَلَيۡهَآ إِن كَانَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ ﴾
[النور: 9]
﴿والخامسة أن غضب الله عليها إن كان من الصادقين﴾ [النور: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na aongeze katika ushahidi wake wa mara ya tano kwa kujiapiza kuwa anapaswa kushukiwa na hasira za Mwenyezimngu iwapo mumewe ni mkweli katika madai yake kuwa yeye amezini. Na katika hali hii watatenganishwa baina ya wao wawili |