Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 25 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿وَيَوۡمَ تَشَقَّقُ ٱلسَّمَآءُ بِٱلۡغَمَٰمِ وَنُزِّلَ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ تَنزِيلًا ﴾
[الفُرقَان: 25]
﴿ويوم تشقق السماء بالغمام ونـزل الملائكة تنـزيلا﴾ [الفُرقَان: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ikumbuke, ewe Mtume, Siku hiyo ambayo mbingu zitapasuka-pasuka, na katika mwanya wa pasuko hizo yajitokeza mawingu meupe yaliyo membamba, na Siku hiyo Mwenyezi Mungu Awateremshe Malaika wa mbinguni wawazunguke viumbe katika Mkusanyiko, na Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka na kuwa juu, Aje kufanya uamuzi baina ya waja kwa namna inayonasibiana na utukufu Wake |