×

Naye ndiye aliye zipeleka bahari mbili, hii tamu mno, na hii ya 25:53 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:53) ayat 53 in Swahili

25:53 Surah Al-Furqan ayat 53 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 53 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿۞ وَهُوَ ٱلَّذِي مَرَجَ ٱلۡبَحۡرَيۡنِ هَٰذَا عَذۡبٞ فُرَاتٞ وَهَٰذَا مِلۡحٌ أُجَاجٞ وَجَعَلَ بَيۡنَهُمَا بَرۡزَخٗا وَحِجۡرٗا مَّحۡجُورٗا ﴾
[الفُرقَان: 53]

Naye ndiye aliye zipeleka bahari mbili, hii tamu mno, na hii ya chumvi chungu. Na akaweka baina yao kinga na kizuizi kizuiacho

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وهو الذي مرج البحرين هذا عذب فرات وهذا ملح أجاج وجعل بينهما, باللغة السواحيلية

﴿وهو الذي مرج البحرين هذا عذب فرات وهذا ملح أجاج وجعل بينهما﴾ [الفُرقَان: 53]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu Ndiye Aliyezichanganya bahari mbili: ya tamu yenye ladha nzuri, na ya chumvi yenye uchumvi mwingi, na Akaweka baina ya hizo mbili kizuizi chenye kuzuia kila mojawapo ya hizo isiiharibu nyingine na pingamizi ili mojawapo isiifikie nyingine
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek