×

Basi usiwat'ii makafiri. Na pambana nao kwayo kwa Jihadi kubwa 25:52 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:52) ayat 52 in Swahili

25:52 Surah Al-Furqan ayat 52 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 52 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿فَلَا تُطِعِ ٱلۡكَٰفِرِينَ وَجَٰهِدۡهُم بِهِۦ جِهَادٗا كَبِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 52]

Basi usiwat'ii makafiri. Na pambana nao kwayo kwa Jihadi kubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فلا تطع الكافرين وجاهدهم به جهادا كبيرا, باللغة السواحيلية

﴿فلا تطع الكافرين وجاهدهم به جهادا كبيرا﴾ [الفُرقَان: 52]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi usiwatii makafiri kwa kuacha kitu chochote kile ambacho umetumilizwa nacho. Lakini fanya bidii yako katika kuufikisha ujumbe na upigane jihadi na wenye kuikanusha hii Qur’ani, kupigana jihadi kukubwa kusikochanganyika na udhaifu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek