×

Naye ndiye aliye muumba mwanaadamu kutokana na maji, akamjaalia kuwa na nasaba 25:54 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:54) ayat 54 in Swahili

25:54 Surah Al-Furqan ayat 54 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 54 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَهُوَ ٱلَّذِي خَلَقَ مِنَ ٱلۡمَآءِ بَشَرٗا فَجَعَلَهُۥ نَسَبٗا وَصِهۡرٗاۗ وَكَانَ رَبُّكَ قَدِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 54]

Naye ndiye aliye muumba mwanaadamu kutokana na maji, akamjaalia kuwa na nasaba na ushemeji. Na Mola wako Mlezi ni Muweza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وهو الذي خلق من الماء بشرا فجعله نسبا وصهرا وكان ربك قديرا, باللغة السواحيلية

﴿وهو الذي خلق من الماء بشرا فجعله نسبا وصهرا وكان ربك قديرا﴾ [الفُرقَان: 54]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Yeye Ndiye Aliyeumba kizazi cha kiume na kike kutokamana na manii ya mwanamume, na kutokana na hayo ukapatikana ujamaa wa kinasaba na ujamaa wa ukwe. Na Mola wako ni Mwenye uweza wa kuumba Anachotaka
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek