×

Na wanayaabudu badala ya Mwenyezi Mungu yasiyo wafaa wala yasiyo wadhuru. Na 25:55 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:55) ayat 55 in Swahili

25:55 Surah Al-Furqan ayat 55 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 55 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَيَعۡبُدُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ مَا لَا يَنفَعُهُمۡ وَلَا يَضُرُّهُمۡۗ وَكَانَ ٱلۡكَافِرُ عَلَىٰ رَبِّهِۦ ظَهِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 55]

Na wanayaabudu badala ya Mwenyezi Mungu yasiyo wafaa wala yasiyo wadhuru. Na kafiri daima ni msaidizi wa kumpinga Mola wake Mlezi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ويعبدون من دون الله ما لا ينفعهم ولا يضرهم وكان الكافر على, باللغة السواحيلية

﴿ويعبدون من دون الله ما لا ينفعهم ولا يضرهم وكان الكافر على﴾ [الفُرقَان: 55]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na pamoja na dalili hizi za uweza wa Mwenyezi Mungu na wema Wake kwa viumbe Wake, makafiri wanaabudu, badala ya Mwenyezi Mungu, kitu ambacho hakiwanufaishi wakikiabudu wala hakiwadhuru wakiacha kukiabudu. Na kafiri ni msaidizi wa Shetani juu ya Mola wake, kwa kufanya ushirikina katika ibada ya Mwenyezi Mungu, na ni mwenye kumpa nguvu huyo Shetani juu kumuasi Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek