×

Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema ni wale wanao tembea ulimwenguni 25:63 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:63) ayat 63 in Swahili

25:63 Surah Al-Furqan ayat 63 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 63 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَعِبَادُ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلَّذِينَ يَمۡشُونَ عَلَى ٱلۡأَرۡضِ هَوۡنٗا وَإِذَا خَاطَبَهُمُ ٱلۡجَٰهِلُونَ قَالُواْ سَلَٰمٗا ﴾
[الفُرقَان: 63]

Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema ni wale wanao tembea ulimwenguni kwa staha, na wajinga wakiwasemeza hujibu: Salama

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وعباد الرحمن الذين يمشون على الأرض هونا وإذا خاطبهم الجاهلون قالوا سلاما, باللغة السواحيلية

﴿وعباد الرحمن الذين يمشون على الأرض هونا وإذا خاطبهم الجاهلون قالوا سلاما﴾ [الفُرقَان: 63]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na waja wa Mwingi wa rehema walio wema ni wale ambao wanatembea juu ya ardhi kwa utulivu wakiwa wanyenyekevu; na wajinga mafidhuli wanaposema nao maneno ya kuwaudhi wanawapa majibu mazuri na wanasema nao maneno ya kuwafanya wasalimike na dhambi na (pia wasalimike na) kukabiliana na mjinga kwa ujinga wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek