Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 64 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿وَٱلَّذِينَ يَبِيتُونَ لِرَبِّهِمۡ سُجَّدٗا وَقِيَٰمٗا ﴾
[الفُرقَان: 64]
﴿والذين يبيتون لربهم سجدا وقياما﴾ [الفُرقَان: 64]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ambao wanaswali usiku kwa wingi wakimtakasia Mola wao wakiwa ndani ya Swala na wakijidhalilisha Kwake kwa kusujudu na kusimama |