Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 112 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ وَمَا عِلۡمِي بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[الشعراء: 112]
﴿قال وما علمي بما كانوا يعملون﴾ [الشعراء: 112]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nūḥ, amani imshukie, aliwajibu kwa kusema, «Sikupewa jukumu la kujua matendo yao. Jukumu nililopewa ni kuwalingania wao kwenye Imani. Na linalozingatiwa ni Imani, na sio cheo, ukoo, kazi na ujuzi wa sanaa |