Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 187 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَأَسۡقِطۡ عَلَيۡنَا كِسَفٗا مِّنَ ٱلسَّمَآءِ إِن كُنتَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ ﴾
[الشعراء: 187]
﴿فأسقط علينا كسفا من السماء إن كنت من الصادقين﴾ [الشعراء: 187]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Iwapo wewe ni mkweli katika madai yako ya utume, basi muombe Mwenyezi Mungu Atuangushie vipande vya adhabu kutoka mbinguni vitumalize.» |