Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 21 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَفَرَرۡتُ مِنكُمۡ لَمَّا خِفۡتُكُمۡ فَوَهَبَ لِي رَبِّي حُكۡمٗا وَجَعَلَنِي مِنَ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ﴾
[الشعراء: 21]
﴿ففررت منكم لما خفتكم فوهب لي ربي حكما وجعلني من المرسلين﴾ [الشعراء: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ndipo nilitoka kwenu kwa kukimbia kuelekea Madyan nilipoogopa usije ukaniua kwa nililolifanya bila kukusudia, Na Mola wangu Akanitunuku unabii na elimu na Akanifanya ni miongoni mwa Mitume |