Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 22 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَتِلۡكَ نِعۡمَةٞ تَمُنُّهَا عَلَيَّ أَنۡ عَبَّدتَّ بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ ﴾
[الشعراء: 22]
﴿وتلك نعمة تمنها علي أن عبدت بني إسرائيل﴾ [الشعراء: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwani huko kulelewa nyumbani kwako unakuona ni neema kutoka kwako juu yangu, na hali wewe umewafanya Wana wa Isrāīl ni watumwa , unawachinja wana wao wa kiume na unawaachilia wanawake wao ili watumwe na wadharauliwe?» |