Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 212 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِنَّهُمۡ عَنِ ٱلسَّمۡعِ لَمَعۡزُولُونَ ﴾
[الشعراء: 212]
﴿إنهم عن السمع لمعزولون﴾ [الشعراء: 212]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kwa kuwa wao ni wenye kuzuiliwa kuisikiliza Qur’ani kutoka mbinguni, ni wenye kupigwa na vimondo |