Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 213 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَلَا تَدۡعُ مَعَ ٱللَّهِ إِلَٰهًا ءَاخَرَ فَتَكُونَ مِنَ ٱلۡمُعَذَّبِينَ ﴾
[الشعراء: 213]
﴿فلا تدع مع الله إلها آخر فتكون من المعذبين﴾ [الشعراء: 213]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hivyo basi usiabudu, pamoja na Mwenyezi Mungu, muabudiwa yoyote asiyekuwa Yeye, ufanyapo hivyo utateremkiwa na adhabu ile iliyowashukia hawa walioabudu, pamoja na Mwenyezi Mungu, asiyekuwa Yeye |