Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 83 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿رَبِّ هَبۡ لِي حُكۡمٗا وَأَلۡحِقۡنِي بِٱلصَّٰلِحِينَ ﴾
[الشعراء: 83]
﴿رب هب لي حكما وألحقني بالصالحين﴾ [الشعراء: 83]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ibrāhīm akasema akimuomba Mola wake, «Mola wangu! Nitunukie elimu na fahamu, na unikutanishe na watu wema, na unikusanye mimi na wao Peponi |