Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 23 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿إِنِّي وَجَدتُّ ٱمۡرَأَةٗ تَمۡلِكُهُمۡ وَأُوتِيَتۡ مِن كُلِّ شَيۡءٖ وَلَهَا عَرۡشٌ عَظِيمٞ ﴾
[النَّمل: 23]
﴿إني وجدت امرأة تملكهم وأوتيت من كل شيء ولها عرش عظيم﴾ [النَّمل: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Mimi nimemkuta mwanamke anawatawala watu wa Saba ’, na amepatiwa kila kitu katika mahitaji ya utawala wa kidunia, na ana kitanda cha heshima kubwa anakalia juu yake kuendesha mambo ya ufalme wake |